Friday, 12 December 2014

VIJANA WA KITANZANIA WAFANYA MAONYESHO YA VITU MBALIMBALI YANAYOTAMBULISHA NCHI YA TANZANIA

Picha na Mkamba Mbonea [China]
Imeandikwa na  Steven Mruma

        Mwishoni mwa mwezi november kulifanyika maonyesho ya vitu mbalimbali vinavyo wakilisha mambo mbalimbali ya kitamaduni na kijamii yanayoitambulisha nchi husika, vijana waki Tanzania nao walisiriki kwa kuonyesha vitu mbalimbali vinavyoitambulisha Tanzania katka medani za kimataifa kama picha alizonitumia mmoja wa washiriki katika maonyesho hayo Ndugu Mkamba Mmbonea.

Hapa rais wa chuo cha East China Normal University akimkabidhi kitabu maalum Rais J. M. Kikwete
Viana hao wakiwa na rais wa chuo cha East China Normal University3 comments:

Anonymous said...

Kazi nzuri vijana.
ni vyema watanzania tukawa na moyo wa kizalendo na nchi yetu na kuona fahari ya kuwa watanzania kwa kuutangaza utamaduni wetu

Anonymous said...

Kazi nzuri vijana

Anonymous said...

Safi sana....

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI