Friday, 12 December 2014

PICHA: KIKAZI ZAIDI MH. VICKY KAMATA AKIWANADI WAGOMBEA WA UONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI ZA KIJIJI NA KITONGOJI GEITA.


      Kazi ya kuwanadi wagombea wa ngazi mbalimbali za uongozi wa serikali za mitaa inaendelea jimboni Geita na kama ilivyo ada Mbunge wa Viti maalum Mh. Vicky Kamata Yupo kuhakikisha wenyeviti wa vijiji na viongoji pamoja na wajumbe wa serikali ya kijiji na viti maalum wote wanaogombea kupitia  CHAMA CHA MAPINDUZI wanashinda kwa kishindo.
   NA HIZI NI BAADHI YA PICHA WAKATI WA UFUNGUZI WA KAMPENI TARAFA YA KASAMWA

ALIPOWASILI TARAFA YA KASAMWA


MH VICKY AKIWA NA VIONGOZI WA CHAMA WILAYA YA GEITA

SEHEMU NDOGO YA WANACHAMA NA WAKEREKETWA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WA TARAFA YA KASAMWA WALIOJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI

MH. VICKY AKIZINDUA KAMPENI TARAFA YA KASAMWA AMBAPO MAMIA YA WANACHAMA WALIHUDHURIA MKUTANO HUO WA KAMPENI.

HAPA MWENEZI MASELE ALIPOKUA AKIMKARIBISHA KUZINDUA KAMPENI

JESHI LA CCM

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI