Saturday, 6 December 2014

PICHA:- NYUMBANI KWA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE YA KUMPONGEZA MTOTO LILIAN M. PINDA AMBAYE NI YATIMA ALIYELELEWA NA KUSOMESHWA NA WAZIRI MKUU HADI KUMALIZA CHUO KIKUU SHAHADA YA SHERIA UDOM

Na Steven Mruma

    Lilian Mwidau Pinda ni binti Yatima aliyelelewa na kusomeshwa na waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda hadi alipohitimu shahada ya Sheria chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] Hivi karibuni alihitimu masomo yake ya shahada ya sheria na kufanyiwa sherehe maalum ya kumpongeza nyumbani kwa waziri mkuu,
    Pamoja na Lilian wapo watoto wengine wengi wakiwemo wenye ulemavu wa Ngozi wanaolelewa na kusomeshwa na Familia ya waziri mkuu.

ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA KATIKA SHEREHE HIYO YA KUMPONGEZA LILIAN KUHITIMU SHAHADA YA SHERIA.

LILIAN MWIDAU PINDA, ALIYESOMESHWA NA KULELEWA NA WAZIRI MKUU M. PINDAMTOTO MICHELLE AKITOA ZAWADI KWA DADA LILIAN M. PINDA
MKE WA MDOGO WA WAZIRI MKUU FATMA PINDA AKIMPONGEZA LILIAN
ILIKUA FURAHA YA AINA YAKE. HAPA LILIAN AKIWA AMEBEBWA
MH. VICKY KAMATA AKIMPONGEZA LILIAN
HAPA NI NYUMBANI KWA WAZIRI MKUU NA ILIKUA NI SHEREHE FUPI YA KUMPONGEZA LILIAN NA PICHANI NI WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIFATILIA KWA MAKINI
FAMILIA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWEMO MDOGO WAKE AITWAE PINDA [KUSHOTO] WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WATOTO WALEMAVU WA NGOZI [ALBINO] AMBAO PIA WANANALELEWA NA WAZIRI MKUU.

WAZIRI MKUU M. PINDA [ANAYEONGEA NA SIMU] AKIWA NA MH. MARTHA MLATA,[MWENYE NGUO NYEKUNDU] MH. VICKY KAMATA [KULIA] MH. AESHI [WA PILI KULIA]NA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI WANAOLELEWA NA FAMILIA YA WAZIRI MKUU.

WAHESHIMIWA WAKISEREBUKA WAKATI WA SHEREHE HIYO
MDOGO WA WAZIRI MKUU AITWAE PINDA AKIWA NA MH. VICKY

MH. S. NCHAMBI [KUSHOTO] NA MH. L. LUSINDE [KULIA]

MH. VICKY NA MH.  AESHI


No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI