Friday, 5 December 2014

PICHA ZA FAMILIA YA MH.VICKY KAMATA WAKIWA BUNGENI DODOMA WALIPOPATA FURSA YA KULITEMBELEA BUNGE.

Na Steven Mruma [Dodoma]

       Watoto wa Mh. Vicky Kamata walitembelea Bunge la Tanzania ma kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa bungeni na wabunge walipokua wanajadili suala la ripoti ya PAC kuhusu ripoti ya Tegeta Escrow.

 Zifuatazo ni baadhi ya Picha walizopiga na wabunge na viongozi wengine mbalimbali.


Walipowasili Bungeni na hapa wakiwa na Mama yao pamoja na wabunge wengine
Familia ya Mh. Vicky Kamata wakiwa na Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid pamoja na Mdogo wa Mh. Vicky aitwaye Deo mwenye suti ya mistari

Mh. Waziri wa Afya akimuuliza jambo Glory mtoto mdogo wa Mh. Vicky Kamata

Familia ya Mh. Vicky wakiwa na Waziri wa Nishati na Madini Prof. S. Muhongo

Familia ya Mh. Hapa wakiwa na Mh. L. Lusinde na Mh. J. Makamba


Watoto wa Mh. Vicky Kamata Glory na Revocatus wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda.


1 comment:

Rashid Chilumba said...

Kwa kweli wamepata uzoefu wa aina yake kujionea namna watunga sheria hao akiwemo mama yao mpendwa mhe.Vicky kamata walipojadili kikamilifu ripoti ya PAC. Revocatus na Glory huenda wakafuata nyayo za mzazi wao. Kila la kheri maana ni wazi malezi ni mazuri

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI