Thursday 27 November 2014

PICHA ZA MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI FEZA BOYS AMBAPO MGENI RASMI ALIKUA MH. VICKY KAMATA.

Posted By Steven Mruma.
    Yalikua ni Mahafali ya shule ya wavulana ya Feza iliyopo jijini Dar es salam ambapo mgeni rasmi alikua Mh. Vicky Kamata.

Na hizi ni Baddhi ya Picha za matukio mbalimbali wakati wa mahafali na baada ya mahafali.

kushoto ni kuu wa shule ya Feza Boys katikati ni Mh. Vicky na kulia ni mkurugenzi wa ISHK ambayo ndio wamiliki wa shule ya Feza Boys

Mh Vicky akihutubia na kuwaasa vijana waliomaliza kidato cha nne
Hapa akishuka jukwani mara baada ya kuhutubia


Akihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari
Familia ya Mh. Vicky Kamata pamoja na viongozi mbalimbali na walimu wa shule ya Feza Boys..

wahitimu baada ya kukabidhiwa vyeti wa akiwemo mtoto wa Mh. Vicky Kamata( Revocatus) ambaye pia alihitimu kidato cha nne mwaka huu shuleni hapo

Revocatus na rafki yake katka pozi
Mara baada ya Sherehe ya mahafali kuisha, mambo yalihamia hapa na bata zikaendelea hasa kwa kumpongeza Revocatus kwa kuhitimu kidato cha nne Feza Boys.
"' Mapenzi ya mamaa elimu ya mamaa haina ada wala cheti ila ni elimu zaidi ya chuo kikuu," Mama akimkabidhi mwanaye Zawadi
Glory wa kwanza kushoto ambaye pia ni mtoto wa Mh. Vicky akiwa na Mama yake wa pili kushoto akifatia Winnie na Kaka Emma kulia
Mh. Vicky katikati akiwa na wadogo zake Deo kushoto na Emma kulia
Mh. Vicky katika Pozi na kaka Emma
Mh, Vicky akiwa na watoto wake Glory na Revocatus

No comments:

GEITA DOCUMENTARY

Contributors