Na Steven Mruma..
Mh. vicky kamata huadhimisha siku yake ya kualiwa kila tar 18/09/ kila mwaka na katka kuadhimisha siku ya kuzaliwa mwaka huu aliamua kutoka na wadogo zake pamoja na mwanae Glory kama picha zinavyoonyesha.PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUANZA KWA PARTY |
MTUMISHI PAUL KUSHOTO GLORY KATIKATI NA MAMA WA GLORY MH. VICKY KAMATA KULIA |
MH. VICKY AKIFURAHIA ZAWADI YA KEKI KUTOKA KWA WADOGO ZAKE NA RAFIKI YAKE AGNESS HOKORORO |
GLORY AKIANGALI PICHA NA MAMA YAKE KULIA NI MH. AGNESS HOKORORO |
MH. VICKY KUSHOTO NA MH. HOKORORO |
MUDA KEKI |
NI FURAHA KUTIMIZA MIAKA KADHAA |
KAMA KAWAIDA WATU WALIKULA |
MPAKA WATASHA HAPA WALIOMBA SHAVU NADHANI KWAKUA WALIONA MAMBO YANAFANANA NA KWAO MAMTONI |
KITU CHA KEKI |
AKIMLISHA MDOGO WAKE WINNIE |
AKIMLISHA KEKI MTUMISHI PAUL |
AKIMLISHA MWANAE GLORY |
No comments:
Post a Comment