Familia ya Mh. Vicky Kamata walikutana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda Airpot Dodoma ambapo walipata fursa ya kupiga picha ya pamoja na kuongea nao mambo machache kama picha zinavyoonyesha hapo chini.
Revocatus {Kushoto} Waziri Mkuu Pinda [katikati] na Glory [kulia] wakiwa Airport Dodoma. Reveocatus na Glory ni watoto wa Mh. Vicky Kamata. |
Watoto wa Mh. Vicky Kamata walipokutana na Waziri mkuu Mizengo Pinda Dododma |
Waziri mkuu Mizengo Pinda ]mwenye suti] akiongea jambo na Mh. Vicky Kamata [wa kwanza kulia] walipokutana Airport Dodoma hivi karibuni |
Waziri mkuu akizungumza maneno machache na Revocatus walipokutana Dodoma |
Hapa Revocatus akisisitizwa jambo na waziri Mkuu Pinda |
No comments:
Post a Comment