Monday 9 December 2013

TAZAMA PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA [SASA TANZANIA] UWANJA WA UHURU


Rais Kikwete akiwasili uwanja wa uhuru

Wimbo wa Taifa ukiimbwa

Rais akikagua gwaride

ukaguzi wa gwaride ukiendelea
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa baraza la mapinduzi Ali M. Shein akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Gharib Bilal

Rais Kikwete akihutubia wananchi
Vikosi vya usalama vikiwa tayari kwa ukaguzi

Gwaride la kikosi cha akina Wanawake kikitoa heshima zake kwa gwaride la mwendo wa haraka


Kikosi cha FFU wanaume wakipita kwa mwendo wa kasi katika gwaride la heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ua uhuru wa Tanganyika.


Watoto wa halaiki wakitoa Burudani

Burudani ya watoto wa halaiki ikiendelea

Kikundi cha sarakasi kikitoa burudani ya aina yake
Maofisa wa usalama wakifuatilia kwa ukaribu maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika

Wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo

Bango likionyesha kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru

Wanachi wakifuatilia kwa ukaribu shughuli nzima ya maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru.

2 comments:

Anonymous said...

I don't comment, but after looking at a few of the comments on "TAZAMA PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA [SASA TANZANIA] UWANJA WA UHURU".
I do have 2 questions for you if it's allright.
Could it be simply me or do a few of the responses come across like they are written
by brain dead folks? :-P And, if you are posting on additional social sites, I would like to follow everything new you have to
post. Could you post a list of all of all your social sites like your linkedin profile, Facebook page or twitter feed?



my page :: microfinance pilot job in india

Anonymous said...

I've been browsing online greater than 3 hours as of late, but I never found any fascinating article like yours.
It is beautiful price sufficient for me. In my view, if all website owners and bloggers made
just right content as you did, the web will likely be a lot more useful than ever before.



My blog post ... http://unistore24.net/

GEITA DOCUMENTARY

Contributors