Friday, 13 December 2013

TAZAMA PICHA YA HALI HALISI INAYOENDELEA NCHINI AFRIKA KUSINI KWENYE MSIBA WA MZEE NELSON MANDELA.

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akitoa heshima za mwisho

Rais Jacob Zuma akiondoka eneo la Union Building jijini pretoria, kwa nyuma ni Graca Machel alivaa nguo nyeusi
Rais wa Zimbabwe Robart Mugabe naye alikuwepo kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela
Rais wa Sli Lanka Mahinda Rajapaska akiondoka baada ya kutoa heshima za mwisho
Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini Thabo Mbeki akitoa heshima za mwisho
Mjane wa Mzee Nelson Mandela Graca Machel akiuaga mwili wa aliyekuwa mume wake mzee Nelson Mandela
Aliyewahi kuwa mke wa Nelson Mandela Winnie Mandela akilia kwa huzuni baada ya kuuaga mwili wa Mzee Nelson Mandela
Mwanamitindo mashuhuri Duniani Naomi Campbell akiwa na simanzi baada ya kuuga mwili wa marehemu mzee Nelson Mandela
Winnie Mandela akitoka eneo la kuuaga mwili wa Mzee Mandela , Winnie pia aliwahi kuwa mke wa Mzee Mandela
Maofisa wa jeshi wakijiandaa kubeba jeneza lililobeba mwili wa Mzee Mandela
Maofisa wa Jeshi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mzee Mandela

Msafara uliobeba mwili wa Mzee Mandela. pembeni wanachi wa Afrika Kusini wakifuatailia kwa ukaribu huku wakipepea bendera za nchi hiyo.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Msafara wenye mwili wa Mzee Mandela

Gari iliyobeba mwili wa Mzee Mandela
Gari iliyobeba Mwili wa Mzee Mandela

Msafara
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. J. Kikwete alikua ni miongoni mwa marais waliohudhuria katika msiba wa mzee Mandela na hapa alikuwa akiwatambulisha baadhi ya marais wa afrika kwa Rais wa Marekani Barack Obama.

Rais Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma nchini Afrika Kusini.

2 comments:

Rejumu said...

Du R I P Nelson Mandela

Anonymous said...

Pumzika salama Mzee wetu Madiba

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI