Glory akiwa ni mwenye furaha ndani ya Dubai Mall
Mh. Vicky Kamata akiwa na Glory kabla ya kuingia ndani ya 'WILD WADI' WATER PARK
Revo akiwa amepozi nje ya Wild Wadi Water park
Nilifurahi kukaribishwa ofisini kwa Mtanzania Mohammed Sharif ambaye ni mwenyeji wa Tanga(kushoto) aliye design Dubai Sports City,unaoonekana nyuma ya picha.Pia tulipata nafasi ya kutembelea site na kujionea majengo mazuri yaliyobuniwa na Mr Mohammed
Hapa Mr. Mohammed Sharif akiwatambulisha baadhi ya maofisa wake anaofanya nao kazi
Mh. Vicky Kamata akiwa ofisini kwa Mr Mohammed Sharif
Baadhi ya majengo yaliyobuniwa na Mohammed Sharif mjini dubai
Hii ni Sehemu ya kupumzika na kufurahi ndani ya Golf Court
Sehemu ya viwanja vya kuchezea Golf
Ebu angalia Uoto kama huu unawezaje kuota jangwani?
Sehemu ya jikoni ya Villa zilizobuniwa na Mtanzania Mohammed Sharif kwa ajili ya kuuza
Moja ya vyumba vya kulala katika Villa hiyo
Glory nae akiwa kwenye chumba chake
Huu ndio muonekano wa sehemu ya nje ya Villa hizo
1 comment:
Hi, this weekend is fastidious for me, as this moment i am reading this great informative piece of writing here at my house.
My blog post ポールスミス 時計
Post a Comment