Wednesday, 18 July 2012

BREAKING NEWS:BOTI YAZAMA IKIWA INATOKA DAR KWENDA ZANZIBAR!!


Habari kutoka mitandao tofauti zinadai kuwa kuna Boti imezama karibu na kisiwa cha Chumbi kilichopo karibu na kisiwa cha Unguja ikiwa inatoka Dar es salaam kwenda Zanzibar ikiwa na watu zaidi ya 200 huku habari zaidi zikidai kuwa chanzo cha meli/boti hiyo kuzama ni mawimbi makubwa ya bahari na tayari boti  kadhaa za KlM zimefika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji,,Habari zaidi zitakujia.

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI