Mganga wa kienyeji aliyefahamika
kwa jina la RAJAB ZUBERI (30), mkazi wa Kerege, Muheza, Tanga, akiwa
chini ya ulinzi wa Wanausalama katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, baada kifaa cha upekuzi kumnasa mganga
huyo akiwa na vifaa vyake vya uganga ambavyo alikuwa amekuja navyo
mahakamani hapo kwa ajili ya kufanyia mambo ya kishirikina katika kesi moja
inayomkabili mmoja wa washtakiwa mahakamani hapo.
No comments:
Post a Comment