Waziri wa mawasiliano na miundombinu Zanzibar Mheshimiwa Hamad Masoud – CUF amejiuzulu rasmi wadhifa huo ili kuwajibika kisiasa baada ya tukio la ajali ya MV Skagit.
Kufuatia hatua hiyo Raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein amemteua mwakilishi wa jimbo la Ziwani – CUF kushika nafasi hiyo
No comments:
Post a Comment