MAANDALIZI YA KUPANGA VITI NA MEZA PAMOJA NA MAMBO MUHIMU YALIENDELEA JAPOKUWA HALI YA HEWA ILIONEKANA KUTOKUA SHWARI SANA |
VITI VYA WATOTO NA VIFAA MBALIMBALI VILIENDELEA KUFUNGWA NA WATAALAM WAKISASA |
MAANDALIZI YALIZIDI KUPAMBA MOTO KILA MUDA ULIPOSONGA |
MAANDALIZI YAKIENDELEA KWA USTADI MKUBWA |
MAANDALIZI YAKIENDELEA |
MTARIBU WA SHUGHULI NZIMA AKIWA KATIKA PILIKAPILIKA ZA KUWEKA MAMBO SAWA HASA YA MALIPO NK |
WATOTO WAKIENDELEA KUFANYA YAO |
WATOTO WALIENDELEA KUJIPANGA HUKU WAKIPEWA MAELEKEZO NA MH VICKY |
DJ AKIWEKA MAMBO SAWA |
FUNDI JAMES ALIHUSIKA KATIKA UTAALAM WA MAMBO YA UMEME NA TAA ZA KISASA |
WATOTO KWA WAKATI WOTE HUO WALIKUA WAKIFANYA YAO |
JIONI ILIPO INGIA SHUGHULI ILIANZA RASMI |
SHEREHE ILIANZA KWA DUA NA WIMBO WA BIRTHDAY ULIIMBWA MISHUMAA IKAZIMWA NK.. |
MISHUMAA IKIZIMWA NA MTOTO GLORY |
MAMA GLORY AKIMSAIDIA GLORY KUKATA KEKI |
GLORY AKIKATA KEKI |
WATU WALIANZA KUJICHANA KWA KEKI.. |
GLORY ALIENDELEA KUWALISHA KEKI WAGENI WAALIKWA NA KILA MTU ALIPATA KEKI NA SI RAHISI KUWEKA PICHA ZOTE KWANI WAGENI WALIKUWA NI WENGI SANA NA KUONA PICHA NYINGINE ANGALIA HABARI ILIYOPITA |
PACHA WA MH. VICKY KAMATA DADA YETU ANJELA MSANGI ALIKUA MC WA SHUGHULI HIYO NA ALITISHA SANA |
WATOTO PAMOJA NA MTOTO GLORY WALIANGUSHA SHOO YA KUFA MTU NI NOUMAA SANA |
WATU WAZIMA WALIUNGANA NA WATOTO KUCHEZA MUZIKI |
BAADA YA SHOO YA WATOTO PALIPIGWA SHOO ZINGINE MBILI KALI SANA JE UNAJUA NI SHOW YANANI NA NANI? VIJANA WA MBONA UNACHELEWA CHELEWA NA MH. VICKY WALISABABISH VYA KUTOSHA. |
VIJANA WA MBONA UNACHELEWA CHELEWA WAKIPIGA SHOO KALI SANA |
HII ILIKUA NI KWA MARA YA KWANZA MH. VICKY KAMATA KUFANYA SHOO YA WIMBO WAKE MPYA WA MOYO WA MTU KICHAKA |
SHOO KALI IKIENDELEA NA MWISHON MH ALIONGEA NENO MOJA TU, HUA HAFANYI SHOO HOVYO NA IKITOKEA AKAFANYA SHOO BASI NI SEHEMU ADIMU TU NA KATIKA MATUKIO ADIMU TU. |
SHOO KALI YA MH. VICKY KAMATA IKIENDELEA |
HUYU NI MTOTO ANAYELELEWA NA VICTORIA FOUNDATION JAPO KUWA NI MLEMAVU LAKINI NI MPIGA PICHA MAKINI SANA NA ALIKUFANYA MAMBO MAKUBWA SANA |
WENGINE KILICHOTULETA HAPA ILIKUA MPUNGA NA WASAA WA MPUNGA UKAWADIA HAKIKA WATU WALIKULA NA KUNYWA |
WAGENI WAKISUBIRIA MPUNGA KWA HAMU SANA HUKU MEZA ZIKIWA ZIMETAPAKAA VINYWAJI VYA KILA AINA |
1 comment:
Hello there! Do you use Twitter? I'd like to follow you if that would be ok.
I'm undoubtedly enjoying your blog and look forward to new posts.
Also visit my web blog: homes ideas
Post a Comment