Thursday 19 June 2014

TUMIA DAKIKA CHACHE KUSIKILIZA WIMBO MPYA WA MH. VICKY KAMATA "MOYO WA MTU KICHAKA"

   NA Steven Mruma.
   Baada ya tukio la kutofungwa ndoa ya Mh. Vicky Kamata mengi yalizungumzwa yapo mengi yaliongelewa tofauti na kila mtu aliandika kutokana na interst yake na kama ulipata bahati ya kumsikiliza kupitia amplifire ya clouds fm wakati akongea na Simon Simalenga aliweka wazi kwa asilimia kubwa ya nini kilitokea.
    Tukiachana na hilo pata nafasi kusikiliza wimbo wake mpya ambao kwa asilimia kubwa unatokana na tukio zima kwa ujumla.
 

4 comments:

Anonymous said...

Unapopatwa majaribu.usikate tamaaa.piga moyo konde.ziba masikio na usonge mbele kuuza kuma

Anonymous said...

Mungu hatakuacha na wewe sio wa kwanza hujui mungu amekuepusha na nini, usiwaangalie wanadamu mshukuru mungu.

Anonymous said...

Mungu hatakuacha na wewe sio wa kwanza hujui mungu amekuepusha na nini, usiwaangalie wanadamu mshukuru mungu.

Anonymous said...

cialis 10mg or 20mg name
[url=http://pharmshop-online.com]buy cialis online[/url] cialis sample packs
- buy generic cialis online

GEITA DOCUMENTARY

Contributors