Wednesday, 2 April 2014

ANGALIA PICHA TULIPOTEMBELEA SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA NA MAMA PINDA HUKO ZUZU DODOMA PAMOJA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR NA MKEWE BI ASHA SEIFwAZIRI MKUU AKIONGEA N

Waziri mkuu akiongea na wanakijiji wa Zuzu Dodoma

Mh. Vicky akijichagulia mazao shambani kwa waziri mkuu

Baadhi ya Viongozi wengine waliokwenda kutembelea shambani kwa waziri mkuu. Mh. Charles Kushoto na Mh. Ole Sendeka Kulia

Sehemu ya shamba la waziri mkuu

Makamu wa pili wa Rais Zanziba Balozi Seif Iddi, waziri mkuu Mizengo Pinda na Mh. Ole Sendeka wakijadili jambo shambani kwa waziri mkuu.Waziri mkuu akiangali mazao shambani kwake pamoja na Balozi Seif  Iddi ambaye ni makamu wa pili wa rais Zanzibar.

Balozi Seif Alli Idi akiAngalia mazao shambani kwa waziri mkuu

Baada ya kutembelea shamba tulikua na mapunziko na kupata vinywaji na chakula.

No comments:

GEITA DOCUMENTARY