Thursday, 28 November 2013

PICHA ZA MH. VICKY KAMATA AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI DUBAI PAMOJA NA WANAKAMATI WENZAKE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA.

          Habari na Steven Mruma.
      Kamati ya Uchumi Viwanda na Biashara wapo ziarani Dubai kujifunza mambo mbalimbali ya kiuchumi viwanda na biashara, moja kati ya wabunge waliopo katika kamati hiyo ni Mh. Mbunge wa Viti maalum Geita Mh. Vicky Kamata.

Hizi ni baadhi ya picha katika ziara hiyo.

Mh. Vicky akifuatilia kwa makini taarifa kutoka ubalozi Dubai

Balozi wa ubalozi  mdogo wa Tanzania  Dubai Bwana Omari Mjengwa [kushoto] na mkurugenzi mshauri wa uchumi na biashara Dubai Bwana Luhumbika [kulia] wakiwasilisha taarifa kutoka ubalozi wa Dubai.

Balozi  wa Tanzania Dubai Omar Mjengwa akiwasilisha taarifa kutoka ubalozi wa Dubai.
Picha ya pamoja katika ubalozi mdogo Dubai,
Waheshimiwa wabunge wanawake katika picha ya pamoja ubalozi mdogo Dubai
Mh. Vicky Kamata katika pozi ziarazi DubaiHabari zaidi kuhusu ziara hiyo itapatikana katika blog hii muda si mrefu. endelea kuwa nasi......

No comments:

GEITA DOCUMENTARY