Monday, 4 March 2013

VICTORIA FOUNDATION YAKABIDHI MSAADA WA TSH. LAKI TATU KWA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE,KINONDONI

 Katibu wa VICTORIA FOUNDATION  Ruthvida Daniel (Kulia) akikabidhi kiasi cha Tshs 300,000/= kwa mama mlezi wa kituo cha kulea yatima cha MAUNGA CENTRE kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam jana jioni.
 Mama mlezi wa kituo cha MAUNGA CENTRE akionekana ni mwenye furaha baada ya kupokea msaada huo.
 Wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wanaolelewa katika kituo cha MAUNGA CENTRE.

1 comment:

Anonymous said...

The higher price of gasoline these days is also a consideration when purchasing a motor yacht.
Scientifically speaking there must be a logical explanation of all the incidents.
The water test allowed to get a person wearing a harness to be dragged
through the water at 4 knots.

My blog ... catamaran for sale (http://www.clearshield.co.kr/)

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI