Monday, 4 March 2013

MH VICKY KAMATA ALIPOTEMBELEA OFISI ZA GAZETI LA HABARI LEO

Mhariri mkuu wa Gazeti la Habari Leo Mr Joseph Kulangwa akisalimiana na Mh Vicky Kamata mara baada ya kuwasili katika ofisi za gazeti hilo.Pembeni ni baadhi ya waandishi wa gazeti hilo.


Mhariri mkuu wa gazeti la Habari Leo Mr Joseph Kulangwa akimuonyesha Mh Vicky Kamata gazeti la Habari leo lililochapishwa siku hiyo.

Mh Vicky Kamata akiwa katika picha ya pamoja na Bi Tuna Abdallah, na Ichikaeli Maro wa Daily News

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI