Friday, 6 December 2013

HIVI NDINYO UVCCM TAIFA WALIVYO ADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIA VIWANJA VYA BIAFRA KINONDONI

    Tamasha kubwa lililoandaliwa na UVCCM Taifs lililofanyika katika viwanja vya biafra kinondoni Jijini Dar es salaam lilikua la aina yake baada ya kutoa hamasa kubwa kwa jamii hasa vijana ambao pia walijitokeza kwa wingi katika tamasha hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa M/kiti wa UVCCM Taifa Mh. Sadifa ambaye alipima virusi vya UKIMWI na kutoa hamasa ya vijana wengi kujitokeza kupima ili kujua afya zao.
    katika tamasha  pia lilisindikizwa na  wasanii maarufu wa bongo fleva waliotoa burudani nzuri ambyo ilikuwa ni kivutio kikubwa katika tamasha hilo.


Bango lililotangaza tanasha hilo
Meza kuu wakifuatilia burudani kwa umakini
Wanachi wakifuatilia tamasha hilo kwa makini katika viwanja vya Biafra
Wananchi wakifurahia moja kati ya burudani zilizokuwa zikitolewa na wasanii mbalimbali
Mh. Sadifa akipima virusi vya UKIMWI huku akiwa mwenye furaha na amani
Msanii Barnaba akitoa burudani
Recho akitoa burudani
Msanii Recho akitoa burudani.

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI