Friday, 11 October 2013

PICHA NYINGINE: ZIARA YA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BISHARA, UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI NCHINI JAPAN.

     Tazama picha zaidi za ziara ya Mh, Vicky kamata akiwa na baadhi ya wabunge nchini Japan katika ziara ya kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara. waalipotembelea kujionea na kujifunza mambo mbalimbali kuhusiana na mambo ya Ki uchumi, Viwanda na biashara, Uwekezaji na uwezeshaji nchini Japan.

Kamati ya Uchumi viwanda na biashara pamoja na uongozi wa TBS wakisikiliza taarifa kutoka Japan Auto Appraisal Institute [JAAI]
Picha ya pamoja mara baada ya presentation kutoka Japan Auto Appraisal Institute [JAAI] Kutola kushto ni 1. Mr. Brown  ambaye ni katibu wa kamati, 2. Mrs. Maleko kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Japan, 3. Msaidizi wa Mh. Mkanga, 4. Mh. Khatibu Haji, 5. M/kiti bodi ya wakurugenzi TBS, 6. Mh. Magreth Mkanga, 7. Mr. Masayki Watanabe ambaye ni General Manager JAAI, 8. Mh Vicky Kamata, 9. Mr. Hijiri, 10. Mr. Isaka ambaye ni Director wa JAAI, 11. Mr Ito ambaye ni Associate Secretary JAAI, 12. Mr. J. Masikitiko ambaye ni kaimu mkurugenzi TBS, 13. Mr Dave ambaye ni Adviser wa JAAI.
Waheshimiwa wakielekezwa  namna mbalimbali jinsi magari yanavofanyiwa ukaguzi wa ubora kabla hayajaletwa Tanzania.
Picha ya pamoja baada ya Waheshimiwa na Uongozi wa TBS kuonyeshwa Mashine na Vifaa vyote vinavyotumika kukagua magari.

PICHA PAMOJA NA MUHUDUMU ALIYEWAHUDUMIA CHAKULA CHA USIKU.
Huduma: Chakula cha usiku.
Mh. Vicky Kamata kushoto pamoja na Muhudumu aliyewahudumia Chakula cha usiku, Kulia ni Mh. Magreth Mkanga.

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI