Thursday, 19 September 2013

HALI YA MTOTO ANAELELEWA NA VICTORIA FOUNDATION YAENDELEA VIZURI BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI

     Hivi karibuni mtoto Jeremia Julius alifanyiwa upasuaji wa mguu katika hospitali ya CCBRT na hali yake kwa sasa inaendelea vizuri. Upasuaji huo umedhaminiwa na VICTORIA FOUNDATION ambo pia kupitia mfuko wa VICTORIA FOUNDATION ndio inayomlea na kumsomesha Jeremia pamoja na watoto wengine. Akiongea akiwa hospitali hapo mtoto Jeremia alisema anajiskia vizuri na hali yake inaendelea vizuri.. aliyasema hayo alipotembelewa na Mh. Vicky Kamata ambaye ndiye Muanzilishi wa Victoria Foundation.Mtoto Jeremia Julius

Jeremia Julius [wa pili kutoka kushoto] mmoja kati ya watoto wanaolelewa na Victoria Foundation pamoja na watoto wengine wanaolelewa na Foundation hiyo na Mh Vicky Kamata katika picha ya pamoja.

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI