Sunday, 21 April 2013

MH. VICKY KAMATA AZINDUA 'VICKY KAMATA CUP' MKOANI GEITA

Mbunge wa Viti Maalum (CCM)mkoa wa Geita Mh. Vicky Kamata leo amezindua rasmi mashindano ya Vicky Kamata Cup mkoani humo. Mashindano hayo yanazikutanisha timu kutoka kata zote za mkoa wa Geita.
 Jezi zilizotolewa na Mh Vicky Kamata kwa timu zote zinazoshiriki ligi hiyo.


     Timu zikiwa zinajiandaa kwa ajili ya kuanza kwa mchezo

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI