Friday, 19 April 2013

WAGENI NA WAFADHILI WA VICTORIA FOUNDATION WALIPOMTEMBELEA MH. WAZIRI MKUU DODOMA Kutoka kushoto ni mfanyabiashara mkubwa kuotoka U.A.E-Dubai Mr. Niaz Wal Khan,Mwenyekiti wa Victoria Foundation Ms. Vicky Kamata,Mkurugenzi mtendaji wa Sayed Corporation Tz Mr.Sayed Masood,Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda,Mfanyabiashara toka Dubai Mr. Haji Badshah Wazir,Mr. Salami na Manager wa Sayed Corporation tawi la Uganda Mr. Abdallah wakiwa katika picha ya pamoja.

 Mr.Haji Badshah Wazir akijadiliana jambo na Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda walipomtembelea huko Dodoma.
Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh. Vicky Kamata (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafadhili wa Victoria Foundation toka U.A.E-Dubai Mr. Haji Badshah Wazir na Mr. Niaz Wal Khan (Kushoto)

2 comments:

Anonymous said...

Spot on with this write-up, I seriously feel this website needs a
great deal more attention. I'll probably be back again to see more, thanks for the info!
Also visit my blog - paletas serranas

Anonymous said...

Spot on with this write-up, I seriously feel this website
needs a great deal more attention. I'll probably be back again to see more, thanks for the info!
my site: paletas serranas

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI