Saturday, 18 August 2012

VICTORIA FOUNDATION YAFADHILI MATIBABU YA MTOTO ERNEST TIMOTHY


 MTOTO Ernest Timothy akiwa anafarijiwa katika Hospital ya Rufaa ya Bugando juzi kabla hajakatwa mguu kushoto ni Mwenyekiti wa Victoria Foundation Vicky Kamata akimfariji Mtoto huyo kabla ambaye juzi mguu wake ulikatwa baada ya kuishi nao ukiwa umeoza zaidi ya miaka 15.


MUUGUZI katika Hospitali ya Rufaa Bugando;Fatma Ally akitoa huduma kwa mtoto Ernest Timothy juzi muda mfupi baada ya kukatwa mguu wake uliokuwa umeoza kwa zaidi ya miaka 15,kulia ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Victoria Foundation,Vicky Kamata uliodhamini matibabu hayo.


PICHA ZOTE NA SHIJA FELICIAN - MWANZA 

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI