Friday, 4 May 2012

BIRTHDAY PARTY YA MH. SHYROSE BHANJI 2012

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi waliangua Vicheko pale wenzao wa CHADEMA walipoikwepa kuigusa nakuila Keki ya Birthday ya Mbunge mteule wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh Shyrose Bhanji wakati wa hafla ya Hepi Besdei ya kuzaliwa kwake iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Jijini Dar es Salaam.Wabunge hao wa CHADEMA ni Mh.Halima Mdee (Kawe) ambaye anaonekana picha ya juu akiikataa keki hiyo iliyotolewa na Wakurugenzi wa Nyumbani Longe, Gadna G Habash na Mkewe Lady Jay Dee, huku Mbunge wa Viti Maalum wa chana hicho,  Mh. Lucy Kiwelu picha ya chini nae akijificha asiitazame kwa karibu.Huku Wabunge wa CCM wakishangilia wakimtaka Mh Halima Mdee aongoze Ukataji wa Keki hiyo ambayo ilitolewa baada ya keki ya awali iliyoandaliwa na Baby Girl Shy Rose Mwwnyewe yenye rangi 'nyutro' kuliwa.Watu mbalimbali walihudhuria tafrija hiyo ndogo wakiwepo Wabunge wa vyama mbalimbali, wanasiasa, Wasanii wa muziki, Watangazaji na Wanahabari ambapo kila aliye simama kuongea alimpongeza sana Shy Rose kwa kuwa Mpambanaji wa Ukweli katika kutafuta kile anachotaka na kumuombea kwa Mungu amuongoze vyema katika kazi yake.Ukiondoa kisa hicho cha Keki, hafla hiyo fupi iliyofana sana, ilionesha jinsi waheshimiwa wabunge wetu walivyo na mshikamano katika jamii, na kudhihirisha ukomavu wa kisiasa kwa kushiriki katika shughuli ya mwenzao bila kujali itikadi zao kisiasa. Na cha kusisimua zaidi ni pale ilipowekwa wazi kwamba mameneja wa kampeni wa Mh Shyrose walikuwa Mh Esther Bulaya (CCM viti maalumu) akisaidiana na Dkt Hamisi Kigwangwala kwa upande wa chama tawala, na Mh Halima Mdee aliyekampenia katika kambi ya upinzani akisaidia na Mh Lucy Kiwelu.


























 Picha na Father Kidevu a.k.a Mroki Mroki, MICHUZI blog

7 comments:

The Gas said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Very good post. I will be dealing with many of these issues as well.
.
My web-site ... horse games online

Anonymous said...

When I originally commented I clicked the "Notify me when new comments are added" checkbox and now each time a comment is
added I get several emails with the same comment. Is there any way you can remove
me from that service? Appreciate it!

Also visit my web-site ... a 1000 ways to die games

Anonymous said...

I've been surfing online greater than 3 hours nowadays, yet I never discovered any interesting article like yours.
It's lovely value enough for me. Personally, if all webmasters and bloggers made
good content as you did, the internet will probably be a lot more useful than ever before.


Also visit my web site: Http://Allesy.Hol.es/Wikkawiki/RandalkeMoreirajd

Anonymous said...

Today, I went to the beach with my children. I found a sea shell and gave it to my 4
year old daughter and said "You can hear the ocean if you put this to your ear." She put the shell to her ear and screamed.
There was a hermit crab inside and it pinched her ear.
She never wants to go back! LoL I know this is totally off topic but I had to tell someone!


Here is my web-site: bathroom mirror storage cabinets

Anonymous said...

If you would like to increase your know-how only keep visiting this web site and be updated with the latest news update posted
here.

Anonymous said...

We are a bunch of volunteers and starting a brand new scheme in our community.
Your site offered us with useful information to work on. You have performed a formidable task and our whole
group will likely be grateful to you.

GEITA DOCUMENTARY

Contributors