MWILI WA MAREHEMU WILLIAM FOFO MAPUNDA UTAAGWA RASMI LEO TAREHE 20/06/2012 NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKULU TAYARI KWA KUPELEKWA NYUMBANI KWAO MANDA LUDEWA KWA MAZISHI, AMBAYO YATAFANYIKA KESHO TAREHE 21/06/2012 SIKU YA ALHAMISI.
SAA 5.00 ASUBUHI: - MWILI KUWASILI NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKURU SAA 6.00 - 7.00 MCHANA:- CHAKULA KWA WOTE SAA 7.00 - 8.30 MCHANA: - SALAMU ZA MWISHO SAA 8.30 - 9.00 ALASIRI: - MWILI KUFIKA KANISANI (KANISA LA ANGLIKANA TABATA KISUKURU KARIBU NA BAR YA MAZDA) SAA 9.00 - 10.30 JIONI: -IBADA YA KUAGA KWA WALE AMBAO WATAKUWA WAMECHELEWA NYUMBANI SAA 10.30 JIONI: - KUANZIA SAFARI YA KWENDA MANDA LUDEWA
No comments:
Post a Comment