Sunday, 26 October 2014
Friday, 10 October 2014
MJUE LOVENESS MAMUYA MWANAMKE SHUPAVU ANAYEKIPIGANIA CHAMA CHA MAPINDUZI HUKO MAREKANI.
Lovenes Mamuya ni mwanamke ambaye anaamini katika kushinda na kufanikiwa na ni moja kati ya wanamke shupavu sana aliyesimamia na anayekisimamia vizuri sana na pia kukipigania CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] huko nchini Marekani..
NA HIZI NI BAADHI YA PICHA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUKIPIGANIA CHAMA HUKO MAREKANI.
![]() |
| LOVENSS MAMUYA WA KATIKATI WALIOKAA AKIWA NA BAADHI YA WANA CHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI HUKO NCHINI MAREKANI. |
![]() |
| DADA LOVENESS WA KWANZA KUSHOTO KATIKA MOJA YA VIKAO VYA WANA CCM HUKO MAREKANI |
![]() |
| DADA LOVENESS MAMUYA WA KWANZA KULIA AKIWA NA VIJANA WAPAMBANAJI WA CCM HUKO MAREKANI |
![]() |
| DADA LOVENESS MAMUYA KATIKA POZI |
![]() |
| HAPA ILIKUA NI USIKU WA JAKAYA NA WATANZANIA WALIOPO MAREKANI WALIKUA WAKIJIVUNIA UTANZANIA NA KUJIVUNIA RAIS WETU MPENDWA J.M.KIKWETE |
Wednesday, 24 September 2014
KUTOKA MAISHA MAPYA YALIYODHANIWA KUA YANGEKUA YA FURAHA DUNIANI LAKINI MUNGU ALIMPENDA ZAIDI AKAWE NA FURAHA MBINGUNI.. R.I.P. ESTER.
Na Steven Mruma "Trust"
Mwishoni mwa mwezi wa August 28/29, niliandika makala ikizungumzia mtoto aitwaye Ester aliyekua anaugua kansa na kupelekea kukatwa mguu wake..
Pamoja na kufanikiwa kupunguza makali ya kansa lakini tulishachelewa kansa ilimuathiri sana na kusababisha hitilafu katika mapafu yake hali iliyopelekea kufariki dunia mnamo tarehe 18/09/2014 na kuzikwa tar 20/09/2014 jijini Dar es salam.
Pamoja na kupitia maisha ya maumivu kwa takribani miaka miwili baada ya kukutana na Victoria foundation Ester na familia ikiwemo watendaji wa Victoria foundation tuliamini kama Ester angepona na kuishi tena maisha ya furaha, japo haikua hivyo tunaamini ilikuwa ni mpango wa MUNGU hadi hapo hitimisho la Ester lilipotimia, yaani mauti yake.
sipendi kulizungumzia sana hasa kutokana na makala niliyowahi kuandika katika Blog hii mwishoni mwa mwezi wa August.
Mwishoni mwa mwezi wa August 28/29, niliandika makala ikizungumzia mtoto aitwaye Ester aliyekua anaugua kansa na kupelekea kukatwa mguu wake..
Pamoja na kufanikiwa kupunguza makali ya kansa lakini tulishachelewa kansa ilimuathiri sana na kusababisha hitilafu katika mapafu yake hali iliyopelekea kufariki dunia mnamo tarehe 18/09/2014 na kuzikwa tar 20/09/2014 jijini Dar es salam.Pamoja na kupitia maisha ya maumivu kwa takribani miaka miwili baada ya kukutana na Victoria foundation Ester na familia ikiwemo watendaji wa Victoria foundation tuliamini kama Ester angepona na kuishi tena maisha ya furaha, japo haikua hivyo tunaamini ilikuwa ni mpango wa MUNGU hadi hapo hitimisho la Ester lilipotimia, yaani mauti yake.
sipendi kulizungumzia sana hasa kutokana na makala niliyowahi kuandika katika Blog hii mwishoni mwa mwezi wa August.
Tumia muda mchache kuangalia picha za tukio la mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es salam wikend iliyopita.
![]() |
| MWILI WA MAREHEMU UKITOLEWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI HOSPITALI YA AMANA |
![]() |
| MWILI UKIPANDISHWA KWENYE GARI KUELEKEA NYUMBANI KWA AJILI YA MAZISHI |
![]() |
| MWILI WA ESTER UKIWA NYUMBANI TAYARI KWA KUAGWA |
![]() |
| MTUMISHI WA MUNGU AKIONGOZA MISA YA KUMUAGA MAREHEMU ESTER |
![]() |
| MWILI WA ESTER UKIAGWA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI |
![]() |
| ILIKUA NI VILIO NA SIMANZI NA WENGINE WALIDHIRAI MARA BAADA YA KUONA MWILI WA MAREHEMU ESTER |
![]() |
| DEOGRATIAUS MOJA KATI YA VIONGOZI WA VICTORIA FOUNDATION AKIAGA MWILI WA MAREHEMU |
![]() |
| STEVEN MRUMA MWANDISHI WA MAKALA HII NA MAKALA MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA VICTORIA FOUNDATION AKIAGA MWILI WA MAREHEMU. |
![]() |
| ALPHA MOJA KATI YA VIONGOZI WA JUU WA VICTORIA FOUNDATION AKIAGA MWILI WA MAREHEMU ESTER |
![]() |
| NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKIAGA MWILI WA MAREHEMU |
![]() |
| MWILI WA MAREHEMU ESTER UKIPANDISHWA KWENYE GARI KUELEKEA MAKABURINI KWA AJILI YA MAZISHI |
![]() |
| MWILI WA ESTER UKIWA MAENEO YA MAKABURINI NA HAPA NDIPO ALIPOLALA KATIKA NYUMBA YA MILELE. |
![]() |
| MWILI WA ESTER UKIWEKWA KABURINI |
![]() | |||
| MWILI WA ESTER UKIFUKIWA[UKIZIKWA] KABURINI |
![]() | ||||||
| WAWAKILISHI WA VICTORIA FOUNDATION STEVEN MRUMA NA ALPHA WAKIONGOZWA NA MAMA MDOGO WA MAREHEMU KUWEKA SHADA LA MAUA KATKA KABURI ALILOLALA ESTER |
![]() |
| MWAKILISHI WA VICTORIA FOUNDATION STEVEN MRUMA BAADA YA KUTOA SHUKRANI ZAKE MARA BAADA YA MAZISHI |
![]() |
| BAADHI YA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOKUJA KUMSINDIKIZA ESTER KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO. |
![]() |
| NA HAPA NDIPO SAFARI YA MWISHO YA DUNUANI YA ESTER ILIPOISHIA BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.. "Ameen" |
Friday, 19 September 2014
ANGALIA PICHA ZA BIRTHDAY PART YA MH VICKY KAMATA APOTOKA OUT NA WADOGO ZAKE NA MWANAE GLORY
Na Steven Mruma..
Mh. vicky kamata huadhimisha siku yake ya kualiwa kila tar 18/09/ kila mwaka na katka kuadhimisha siku ya kuzaliwa mwaka huu aliamua kutoka na wadogo zake pamoja na mwanae Glory kama picha zinavyoonyesha.![]() |
| PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUANZA KWA PARTY |
![]() |
| MTUMISHI PAUL KUSHOTO GLORY KATIKATI NA MAMA WA GLORY MH. VICKY KAMATA KULIA |
![]() |
| MH. VICKY AKIFURAHIA ZAWADI YA KEKI KUTOKA KWA WADOGO ZAKE NA RAFIKI YAKE AGNESS HOKORORO |
![]() |
| GLORY AKIANGALI PICHA NA MAMA YAKE KULIA NI MH. AGNESS HOKORORO |
![]() |
| MH. VICKY KUSHOTO NA MH. HOKORORO |
![]() |
| MUDA KEKI |
![]() |
| NI FURAHA KUTIMIZA MIAKA KADHAA |
![]() |
| KAMA KAWAIDA WATU WALIKULA |
![]() |
| MPAKA WATASHA HAPA WALIOMBA SHAVU NADHANI KWAKUA WALIONA MAMBO YANAFANANA NA KWAO MAMTONI |
![]() |
| KITU CHA KEKI |
![]() |
| AKIMLISHA MDOGO WAKE WINNIE |
![]() |
| AKIMLISHA KEKI MTUMISHI PAUL |
![]() |
| AKIMLISHA MWANAE GLORY |
Subscribe to:
Posts (Atom)
















































