Saturday, 3 May 2014

PICHA ZA MH. VICKY KAMATA NCHINI CHINA KATIKA MAANDALIZI YAKE YA KUANZA MAISHA MAPYA HIVI KARIBUNI. [TUNASUBIRI KWA HAMU]

Na Steven Mruma [Guangzhou China].

MSOSI TIME
PICHA NDANI YA ASIA INTERNATIONAL HOTEL PAMOJA NA BWANA DALMAR ISMAN  WA UK ALPOKUJA CHINA KWA AJILI YA CANTON FAIR NA BWANA MAHDI AMBAYE NI C.E.O. WA ABM GROUP
WAKIPATA MIXED FRUIT NA BWASHEE NA MARAFIKI

MH. VICKY, SALAHAA WA SILENT OCEAN NA CHARLES

NITAKUAMBIA BAADAE KUHUSU HII PICHA

MH. VICKY , STEVEN [ SIE MUANDISHI WA HABARI HII] NA CHARLES

MIXED FRUIT JUICE

NJE YA ASIA INTERNATIONAL HOTEL...

Saturday, 26 April 2014

SAFARI YA GUANGZHOU CHINA MPAKA NDANI YA TARVERN SPORTS BAR,, NA ILIKUA NI SHANGWE ZA BIRTHDAY YA KAKA YETU JIMMY..

Ndaani ya pipa kwa safari ya Guangzhou

Mh. Vicky na Brother Jimmy katka serehe fupi ya siku ya kuzaliwa kwa kaka Jimmy
Mh. Vicky akilishwa keki na kakaJimmy hayupo pichani.

Baada ya keki bata zingine zilichukua nafasi yake..na kwa Nyuma ilikua ni Mechi ya Europa League ilikuaikiendelea

China ni nchi yenye watu wenye upendo sana huwezi kudhani kama upo ugenini,, big up
    Na.. Steven Mruma....


Sunday, 20 April 2014

Sherehe za Kufunga Maonesho ya Kuazimisha Miaka 50 ya Muungano Wetu Tanzania Viwanja Vya Mnazi Mmoja-Dar es Salaam

Na StevenMruma..

     Sherehe za Kufunga Maonesho ya Kuazimisha Miaka 50 ya Muungano Wetu Tanzania Viwanja Vya Mnazi Mmoja-Dar es Salaam.Tuuenzi,Tuudumishe na Tuulinde Muungano Wetu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akisisitiza jambo mbele ya Mh. Mwigulu Nchemba

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akisikiza ufafanuzi wa jambo pamoja na viongozi mbalimbali waliokuwekuwepo katka kufunga maonyesho ya miaka 50 ya Muungano viwanja vya mnazi mmoja
Waziri Mkuu akieleza jambo


picha kwa hisani ya Mwigulu Nchemba [facebook]

Thursday, 3 April 2014

KAMA ULIKUA HUMJUI MAMA YAKE MH. VICKY KAMATA NA BIBI NA BADHI YA NDUGU ZAKE HAWA HAPA.. NA CHAKULA CHAO KIKUBWA NI HIKI HAPA.

   Na Steven Mruma

   Pata fursa ya kuwfahamu ndugu wa Mh. Vicky kamata kwa picha.. lakini pia fahamu ni chakula gani wanapendelea kula. `Unaweza kushangaa kuona bado wana afya njema kabisa na huonekana wachangamfu kabisa, hii inatokana kula vyakula vingi vya asili, kama ugali wa mtama, ugali wa muhogo, mboga za majani kwa wingi na samaki. 

Huyu ni Mama mzazi wa Mh. Vicky Kamata na hapo alipo ni Sengerema

Huyu ni Bibi yake M.h. Vicky

Huyu pia ni Bibi Yake Vicky
Na Huyu ni mjomba wake na nadhani si mgeni kwenye macho ya wengi anaitwa Revocatus Makonge, kama ulikua msikilizaji mzuri wa REdio Tanzania na TBC Taifa hili jina utakua umewai kuliskia sana hasa siku za jumapili.

Hapa ni Sengerema tulipomtembelea mama yake Mh. Vicky na huyo ni Vicky mwenyewe akiongea na wazazi wake

Mh. Vicky akisikiliza jambo kwa makini kutoka kwa mjomba wake Makonge hayupo pichani
Hapa ni Kibamba na huyu ni Bibi yake mzaa Baba huyu ndio Mama Kamata mwenyewe

Hapa ni Mr.& Mrs nanilii.. Bibi yake mzaa baba akiwa na mume wake wasasa [ Steven Mruma]

Hii ndionyumba wanayoishi baadhi ya ndugu zake waliopo Sengerema hasa Bibi zake na wajomba pamoja na wadogo zake Mh. Vicky

Hiki ndicho Chakula wanachopendelea sana kula mara kwa marabila shaka unavijua vyakula hivyo vinaitwaje...


Wednesday, 2 April 2014

ANGALIA PICHA TULIPOTEMBELEA SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA NA MAMA PINDA HUKO ZUZU DODOMA PAMOJA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR NA MKEWE BI ASHA SEIFwAZIRI MKUU AKIONGEA N

Waziri mkuu akiongea na wanakijiji wa Zuzu Dodoma

Mh. Vicky akijichagulia mazao shambani kwa waziri mkuu

Baadhi ya Viongozi wengine waliokwenda kutembelea shambani kwa waziri mkuu. Mh. Charles Kushoto na Mh. Ole Sendeka Kulia

Sehemu ya shamba la waziri mkuu

Makamu wa pili wa Rais Zanziba Balozi Seif Iddi, waziri mkuu Mizengo Pinda na Mh. Ole Sendeka wakijadili jambo shambani kwa waziri mkuu.



Waziri mkuu akiangali mazao shambani kwake pamoja na Balozi Seif  Iddi ambaye ni makamu wa pili wa rais Zanzibar.

Balozi Seif Alli Idi akiAngalia mazao shambani kwa waziri mkuu

Baada ya kutembelea shamba tulikua na mapunziko na kupata vinywaji na chakula.

Saturday, 8 March 2014

NDANI YA BUNGE LA KATIBA; MENGI YAMETOKEA LAKINI KUBWA NI KUPATA KATIBA MPYA YENYE MASLAHI KWA WATANZANIA NA VIZAZI VIJAVYO.


Posted By Steven Mruma [Dodoma]
   Bunge la katiba linaendelea mjini Dodoma yapo mengi yanatokea lakini lengo kubwa ni kuhakikisha katiba ya WATANZANIA yenye maslahi kwa Mtanzania inapatikana. Wakati bunge hili maalum la katiba likiwa limekumbwa na migongano ya hapa na pale lakini wananchi wanahitaji kitu kimoja tu kifanywe na Bunge hili maalum la katiba nalo ni kutengeneza katiba itakayo jali maslahi ya Watanzania wote....
Baadhi ya wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakiwa katika moja ya vikao vya Bunge hilo maalum l;a katiba


Mh. Vicky Kmata na Mh. Anna Mkinda wakijadili Jambo katika moja ya vikao vya bunge la katiba
Mh. Anna Makinda akisisitiza jambo kwa Mh. Vicky Kamata 

GEITA DOCUMENTARY

Contributors