Saturday, 28 August 2010

Uchaguzi Mkuu 2010

Hapa nikiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Mr. Mgeja

Nikiwaimbisha wapiga kura wa Bukombe mkoa wa Geita ili wanipe kura

Nilingia mahali hapa na kumuomba Mungu

Vicky Kamata akiwa katika picha ya pamoja na wapiga kura wake Mkoa wa GEITA
BIG UP!! NOAH kwa kazi nzuri mkoa wa GEITA

Vicky Kamata akipeleka ushindi kwa Bibi

Vicky Kamata akiwa haamini mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza Viti Maalum mkoa wa Geita,akiwa pamoja na wapiga kura wake
Vicky  akibadilishana  mawazo na bibi na mama  mdogo
 Nikiwashawishi akina mama hawa kunipigia kura zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi Viti Maalum

Saturday, 31 July 2010

Duh, kumbe kuku na yai wakwanza kutokea ni kuku!!!


Wanasayansi wa Ulaya wametatua ule uzushi wa kipi cha kwanza kutokea kati ya kuku na yai.
"Imekuwa ikizoeleka kufikirika kuwa yai lilikuja kabla ya kuku"
Watafiti kutoka Scotland na Uingereza walitumia Supercomputer iitwayo HECToR kwa kulchunguza gamba la yai la kuku na kugundua uwepo wa protein ambazo hutumika katika utengenezaji wa awali kabisa wa yai tumboni mwa kuku.Na protein hiyo hupatikana kwa kuku tu.
Kwa hiyo kuku alikuja wa kwanza na yai lilifuata.

Monday, 28 June 2010

Albam 10 na Miaka 10 ya African Stars 'Twanga Pepeta'


Mwanamuziki mwalikwa katika bonanza la mafanikio ya albamu 10 na kutimiza miaka 10, tangu kuanzishwa kwa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta' Ramadhani Masanja 'Banza Stone' (kushoto) akienda sambamba kiongozi wa bendi hiyo, Lwiza Mbutu wakati wa bonanza hilo lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club, jana.

GEITA DOCUMENTARY

Contributors