Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

Wednesday, 18 November 2015

PICHA: BAADA YA KULA KIAPO CHA UTII MH. VICKY KAMATA BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA GEITA.

Steven Mruma... Dododma

      Mh. Vicky Kamata ameapishwa rasmi na kuwa mbunge kwa kipindi cha pili kuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita..
      Baada ya kula kiapo cha utii alipata fursaya kupiga picha na watu mbalimbali akiwemo Naibu spika Dr Tulia Ackson na baadhi ya ndugu jamaa na marafiki.

ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO MARA BAADA YA KUAPISHWA.

 

1 comment:

Anonymous said...

Hongera lkn utulie. Acha waume za watu. Na kuvunja ndoa rafiki. Ni dhambi

There was an error in this gadget