Monday 12 January 2015

PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO KATIKA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


Na Steven Mruma (Zanzibar)

       Leo ilikua ni kilele cha maadhimisho ya Miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar. Na katika kuadhimisha sherehe hiyo mambo mbalimbali yalifanyika zikiwemo burudani za vikosi vya ulinzi na usalama, wasanii mbalimbali.
       Rais wa Zanzibar na M/kiti wa Baraza la mapinduzi Dr. Alli Mohamedi Shein alihutubia Taifa na Katika hotuba hiyo Rais Shein alizungumzia mambo mengi ikiwemo kufuta michango yote na ada mashuleni, huduma bure za afya mahospitalini kwa watoto na wazee nk.

ZIFUATAZO NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO KATIKA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


















No comments:

GEITA DOCUMENTARY

Contributors