Wednesday, 5 February 2014

HARAKATI ZA VIJANA WA CCM KATIKA KUIMARISHA CHAMA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 TANGU KUZALIWA KWAKE

   Vijana ni kundi kubwa na lenye nguvu sana katika harakati mbalimbali za  kiuchumi, kisiasa, kijamii nk. wakati wa kutimiza miaka 37 tangu kuzaliwa kwake vijana wengi hawakua nyuma, walikua mstari wa mbele kuhamasisha na kutoa michango yao ya aina mbalimbali kwa kusudi la kimarisha CHAMA CHA MAPINDUZI CCM.Moja kati ya vijana walio na wanaofanya mambo makubwa ni kijana na mwana harakati James Mwakibinga ningependa nitoe pongezi kwake na kijana wakuigwa na vijana wote wa Chama cha Mapinduzi CCM.
No comments:

GEITA DOCUMENTARY