Saturday, 9 August 2014

PICHA ZA BAADI YA MATUKIO TAMASHA LA MATUMAINI KATIKA MECHI YA WABUNGE WA SIMBA VS WABUNGE WA YANGA


          Picha kwa hisani ya James Mwakibinga, Mwigulu Nchemba na Steven Mruma

 Posted by Steven Mruma. 

      Mechi baina ya waheshimiwa Wabunge mashabiki wa Yanga na Simba ilionekana kuwa kivutio kikubwa baada ya wabunge wa Yanga kuwalowesha Simba jumla ya mabao 3 – 2, kama hiyo haitoshi mpambano wa masumbwi uliowakutanisha mastaa wa filamu, JB na Cloud ambapo mpaka mwisho wa mpambano JB AKA Bonge la bwana aliweza kuibuka mbabe wakati kwa upande Mada Maugo alifanikiwa kumchapa  mpinzani wake Thomas kwa Knok Out. 

TIMU ZIKIIMBA WIMBO WA TAIFA
MTANANGE UKIENDELEA HUKU MH.M. NCHEMBA AKIONYESHA KANDANDA SAFI KWA UPANDE WA WABUNGE WA YANGA

MH. NCHEMA AKISHANGILIA USHINDI

MH. NCHEMA AKIFANYA VITU VYAKE UWANJA WA TAIFA

MH. RIDHIWANI KIKWETE AKIFANYIWA FAULU MBAYA NA MCHEZAJI WA WABUNGE WA TIMBA

MH. RIDHIWANI KIKWETE A.K.A INIESTA AKIONYESHA UFUNDI

ILIKUA NI VUTA NIKUVUTE
MFUNGAJI WA BAO LA WABUNGE WA YANGA MH. IDRISA KITWANA AKISHANGILIA BAO

WABUNGE WA YANGA WAKISHANGILIA MARA BAADA YA KUWAFUNGA WABUNGE WA SIMBA
MASHABIKI WAKISHANGILIA TIMU ZAO

KIKOSI CHA WABUNGE WA YANGA

KIKOSI CHA WABUNGE WA SIMBA

No comments:

GEITA DOCUMENTARY