Ndaani ya pipa kwa safari ya Guangzhou |
Mh. Vicky na Brother Jimmy katka serehe fupi ya siku ya kuzaliwa kwa kaka Jimmy |
Mh. Vicky akilishwa keki na kakaJimmy hayupo pichani. |
Baada ya keki bata zingine zilichukua nafasi yake..na kwa Nyuma ilikua ni Mechi ya Europa League ilikuaikiendelea |
China ni nchi yenye watu wenye upendo sana huwezi kudhani kama upo ugenini,, big up |
1 comment:
Ushatia timu kwenye hicho kiwanja Mh? Ilibidi utucheki wadau tukupe ramani ya viwanja vya ukweli.
Post a Comment