Tuesday, 8 January 2013

BREAKING NEWS: MSANII WA MUZIKI 'OMAR OMAR' AFARIKI DUNIA LEO


Msanii wa muziki aina ya mchiriku hapa nchini Tanzania Omari Omari amefariki dunia leo.

Akielezea kifo cha msanii huyo Mkubwa Fella ambaye ni jirani yake amesema marehemu Omari Omari alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua.

Marehemu Omari Omari aliwahi kutamba sana na wimbo wake wa mchiriku ulioitwa 'Kupata ni majaliwa'.
 

No comments:

GEITA DOCUMENTARY