Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

Monday, 21 May 2012

KWELI MIZENGO PINDA NI MTOTO WA MKULIMA....HAPA NI SHAMBANI KWAKE ZUZU-DODOMA

 Team ya Victoria Foundation ilipotembelea shambani kwa waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda maeneo ya Zuzu-Dodoma na kujionea shughuli mbalimbali za kilimo na ufugaji

 Mbegu fupi ya mtama iitwayo Masia
 Mh. Waziri mkuu akitoa ufafanuzi namna nyuki wanavyosaidia uchavushaji,na pia wanavyoweza kuongeza uzalishaji wa asali kwa kujengewa karibu na mimea inayowavutia,kama vile Alizeti

 Shamba la Mbaazi
 Ilikuwa inataka ujasiri kupiga picha karibu kabisa na mizinga ya nyuki

 Mizinga ya kisasa ya kufugia nyuki
Mh Waziri mkuu akionyesha jinsi muundo wa mzinga wa kisasa wa kufugia nyuki ulivyo kwa ndani
Baada ya mizunguko ya shambani hapa tulikuwa tukibadilishana mawazo na waziri mkuu huku tukipata vinywaji
Asali asilia (Natural Honey) iliyozalishwa shambani hapo

No comments:

There was an error in this gadget