Viongozi na Mamia ya wananchi waaga mwili wa marehemu Mh. Regia Mtema
Mwili wa Marehemu Regia Mtema Ukiingizwa katika viwanja vya Karimjee tayari kwa kutoa heshima za mwisho na kuuaga kabla ya kuelekea Ifakara kwa maziko..
Heshima za mwisho zikitolewa kwa Mwili wa Marehemu Regia Mtema
No comments:
Post a Comment