Friday, 23 March 2012

SHUKRANI TOKA VICTORIA FOUNDATION KWA WAFADHILIMHESHIWA VICKY KAMATA MBUNGE WA GEITA VITI MAALUM NA MWENYEKITI WA VICTORIA FOUNDATION ANAPENDA KUTOA SHUKRANI ZAKE ZA DHATI KWA MAKAMPUNI , TAASISI NA WATU BINAFSI WALIOJITOA KWA HALI NA MALI KUISAIDIA WATOTO YATIMA NA WALEMAVU MKOA WA GEITA, MWENYEZI MUNGU AWARUDISHIE MARA MIA KWA MOYO WAO WA UPENDO.


1.      HOME SHOPPING CENTER
2.      EWURA
3.      QUALITY GROUP LIMITED
4.      TRA
5.      GEITA GOLD MINE
6.      MHESHIMIWA MARK BOMANI
7.      PPF
8.      UDF (UNITY IN DIVERSITY FOUNDATION)
9.      MKURUGENZI HALIMASHAURI YA WILAYA GEITA
10  MERY NOTMAN (KIDSCARE IRELAND)

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI