Sunday, 23 October 2011

MH VICKY KAMATA AKIHITIMISHA ZIARA MKOANI GEITA.

Mh Vicky Kamata akiwa kwenye kikao cha ndani na wanawake wa UWT GEITA


Mh Vicky Kamata akisalimiana na watoto wa Moyo wa Huruma Orphanage Center

Mh Vicky Kamata alitembelea kituo cha kulelea watoto yatima na kutoa mashine ya kisasa ya kufulia nguo

Mh Vicky Kamata akiwa na watoto wa Moyo wa Huruma  Orphanage Center na uongozi wa kituo hicho


Mh Vicky Kamata akifafanua jambo kwenye kikao cha ndani na wanawake wa UWT GEITA

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI