Tuesday, 16 August 2011

HAPPY BIRTHDAY WAZIRI MKUU MHE.MIZENGO PINDA

 Happy Birthday Hon. Mizengo Pinda

 
 Hii ndo keki ya Birthday ya Mhe. Pinda
 Mhe. Pinda akikata keki.   
 Baadhi ya wabunge waliodhuria hafla hiyo kutoka kushoto ni Mhe.Vicky Kamata na Mhe. Rita Kabati
 Wabunge waliodhuria sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Waziri Mkuu.
 Kutoka kushoto ni Mhe Rita Kabati, Mhe Jenista Muhagama, Mhe Vicky Kamata pamoja na Mhe.Faida
 Kutoka kushoto ni Mhe. Mary Nagu na Mhe.Sophia Simba nao walikuwepo katika hafla ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Waziri Mkuu Mhe.Pinda
Kutoka kushoto Mhe.Rita Kabati, Mbunge viti maalum Mhe.Neema, Mhe.Jenista Muhagama, Mhe.Faida  pamoja na Mhe.Vicky Kamata
Kutoka kushoto ni Mhe.Sophia Simba, Mhe.Vicky Kamata na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda
 
Kulia ni Mhe.Rita Kabati, Mhe.Anne Makinda na Mbunge wa viti maalum Neema pamoja na Mhe. Jenista Muhagama

 Wafanyakazi katika ofisi ya Waziri Mkuu wakimpongeza Mhe. Pinda
 Mhe. Kamata akisalimiana na mama Tunu Pinda.
 Spika wa Bunge mama Anne Makinda akitoa mkono wa pongezi kwa Waziri Mkuu Mhe. Pinda.


No comments:

GEITA DOCUMENTARY