Wednesday, 6 July 2011

MALIPO YA RADA KUJERESHWA

 Spika wa Bunge la Tanzania  Mhe.Anne Makinda(katikati) akipokea taarifa ya marejesho ya malipo ya rada kutoka kwa Naibu Spika Mhe. Job Ndugai(kulia) aliyeongoza timu ya wajumbe kwenda Uingereza kujadili marejesho hayo yatakavyofanyika. kushoto ni Mbunge wa Ilala Mhe. Azzan Zungu

Naibu Spika Mhe.Job Ndugai(aliye simama) akiongea na waandishi wa habari

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI