NIKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA JOHANESBURG SOUTH AFRICA |
NIKIWA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA VIJANA TAIFA JIJINI JOHANESBURG |
SANAMU YA WAZIRI MKUU WA KWANZA WA SOUTH AFRICA |
HAPA NI IKULU YA SOUTH AFRICA NA PIA UKUMBI WA BUNGE UPO HAPAHAPA MJINI PRETORIA |
NILIVUTIWA SANA NA MAUA HAYA |
"ELIMU HAINA MWISHO"......PIA NILIPATA NAFASI YA KUKITEMBELEA CHUO KIKUU CHA SOUTH AFRICA KILICHOPO PRETORIA |