Tuesday, 22 March 2011

ANNA MAKINDA ATEMBELEA LIBERIA

Wanawake waishio Liberia wakiwa katika picha ya pamoja na Spika Anna Makinda


Watanzania waishio Liberia wakiwa katika picha ya pamoja na spika Anna Makinda walipomkaribisha chakula cha jioni.

Friday, 11 February 2011

Egypt ya leo

Hosni Mubarak ameamua kung'ang'ania tawi, ameongea kama vile yuko Mtwara. Hosni Mubarak anaonekana kutoelewa kinachoendelea Tahrir na kwingineko Egypt. WaMisri sasa wanaonekana kuwa hawana jinsi. Wataingia mitaani kukata mti. Kama ilivyo kawaida, ukubwa wa moto utakaowaka utaanza kupimwa baada ya swala ya Ijumaa hii leo.(Nam Mdau Maggid Mjengwa)
Genevieve Emmanuel akiwa amependeza na vazi la ubunifu lililobuniwa na Farouque Abdella kutoka visiwani Zanzibar.

Friday, 28 January 2011

SEMINA YA WABUNGE WA CCM ILIYOFANYIKA BLUE PEARL UBUNGO PLAZA

KULIA NI PROF. MAGHEMBE, VICKY KAMATA, CATHERINE MAGIGE, UMMY MWALIMU

NIKISALIMIANA NA WAZIRI MKUU MH..MIZENGO PINDA,KATIKATI AKIWA NI MH.MAKONGORO MAHANGA

MWALIMU VICKY KAMATA AKIWA NA MBUNGE WA VIJANA CATHERINE MAGIGE

GEITA DOCUMENTARY

Contributors