Katika ziara hiyo waliambatana na M/kiti mpya wa bodi ya wakurugenzi wa TBS, Kaimu mkurugenzi wa TBS, na baadhi ya wakaguzi kutoka TBS.
![]() |
| Kutoka kushoto ni Mh, Hatibu Haji[ Mb Cuf] Vicky Kamata na M/kiti mpya wa bodi ya wakurugenzi TBS. |
![]() |
| Mh. Vicky Kamata na Mh. Hatibu Haji [KUSHOTO] pamoja na Kaimu mkurugenzi wa TBS[mwenye shati jeupe] na kulia ni M/kiti mpya wa bodi ya wakurugenzi TBS. |
![]() |
| Hapa ni Hotel aliyofikia Mh. Vicky na wabunge wenzake, hotel inaitwa THE YAKOHAMA BAY HOTEL ipo Jiji la Yakohama. |
![]() |
| Hotel waliyofikia. The yakohama bay hotel |
![]() |
| Mdogo wa Mh Khatibu ambaye ni Mtanzania anayeishi Japan kwa biashara ya Magari,akiwa katika picha ya Mh, Vicky Kamata walipokutana katika ziara huko nchini Japan. |
![]() |
| Mh. Vicky Kamata akiwa na wenyeji wake akifuatilia jambo kwa makini. |
![]() |
| Mwenyeji wao kutoka kampuni ya Jaai aliwalitoa dinner katika hotel ya THE PRINCE HOTEL, |


































