Na StevenMruma..
Sherehe za Kufunga Maonesho ya Kuazimisha Miaka 50 ya Muungano Wetu
Tanzania Viwanja Vya Mnazi Mmoja-Dar es Salaam.Tuuenzi,Tuudumishe na
Tuulinde Muungano Wetu.
Mungu Ibariki Tanzania.
 |
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akisisitiza jambo mbele ya Mh. Mwigulu Nchemba |
 |
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akisikiza ufafanuzi wa jambo pamoja na viongozi mbalimbali waliokuwekuwepo katka kufunga maonyesho ya miaka 50 ya Muungano viwanja vya mnazi mmoja |
 |
Waziri Mkuu akieleza jambo |
picha kwa hisani ya Mwigulu Nchemba [facebook]