Timu ya Victoria Foundation ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mh. Vicky Kamata ikimkaribisha mgeni rasmi Mh. Hussein Mwinyi, Waziri wa afya
Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh. Vicky Kamata akitoa hotuba yake kushukuru kwa mchango uliotolewa na kampuni ya Sayed Corporation.
Mgeni rasmi Waziri wa afya Mh. |Hussein Mwinyi akizungumza kusifu na kushukuru jitihada zinazofanywa na Victoria Foundation ikishirikiana na Sayed Corporation Ltd katika kuinua maisha ya mtoto wa kitanzania.
Mr. Azhar M. Wars ambaye ni mwakilishi wa balozi wa Pakistan nchini akizungumza jambo na kutoa mchango wake katika hafla hiyo.
Mkurugenzi mtendaji wa Sayed Corporation Mr. Sayed Masood ur Rehman akihutubia katika hafla hiyo
Mkurugenzi mtendaji wa Sayed Corporation Mr Sayed Masood ur Rehman(kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shs Milioni kumi kwa Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh Vicky Kamata.
Mgeni rasmi Waziri wa Afya Mh Hussein Mwinyi akipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Sayed Corporation Mr Sayed Masood ur Rehman
Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh Vicky Kamata akipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Sayed Corporation Mr Sayed Masood ur Rehman
Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh Vicky Kamata akipokea msaada wa baiskeli toka kwa Sayed Corporation
Wageni waliohudhuria katika hafla hiyo
Hata watoto nao walikuja kuunga mkono hafla hiyo
Mwenyekiti wa Victoria Foundatio Mh Vicky Kamata (wanne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wafadhili
Katika nyuso za furaha
Katika picha ya pamoja na watoto wa Victoria Foundation
Wageni waalikwa
Mr Culma akitoa ahadi ya mchango wake kwa Victoria Foundation







