Wednesday, 3 August 2011

MAONYESHO YA NANENANE DODOMA

 Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha Eva Varelian (kushoto) na Alice Kihiyo (kulia) wakimhudumia mteja  wakati wa maonyesho ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma
  Afisa Mfuko wa Hiari wa Kujiwekea akiba uzeeni (GEPF) Aziza Selemani akitoa ufafanuzi kwa mwananchi aliyetembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nane nane leo mjini Dodoma.
 Afisa Uhisiano wa Mfuko wa Penseni wa PPF Edward Kyungu akitoa maelezo
kwa mwananchi katika banda la Wizara ya Fedha juu ya muhimu wa mfuko huo katika maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma .
 Onni Sigara(katikati) na Adamu Msumule(kushoto) wakati wa maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma.
 Afisa katika kitengo cha bajeti cha Wizara ya Fedha Adamu Msumule akitoa maelezo juu ya vipaumbele vya bajeti ya mwaka huu katika maonyesho ya wakulima ya nane nane yanayoendelea mjini Dodoma

ANNA LUKINDO ATINGISHA JIJINI LONDON

 Model akiwa mzingoni
 Mojawapo ya design tofauti
 Model ndani ya kivazi
 Jestina kionyesha mitindo ya mavazi
 Mavazi ya Anna yalikuwa kivutio kikubwa
 Maonyesho ya mavazi yakiendelea
 Model ndani ya vazi la Anna
 Model ndani ya kivazi cha Anna
 MC akitoa matangazo
 Kutoka Kushoto ni Mariam Kilumanga, Jestina George, Anna Shelukindo na mdau wakiwa katika pozi
 Ma model wa Anna katika pozi
Mama Balozi na staff wa Ubalozi nao walikuwepo kumsupport Mtanzania mwenzao
 Model Tina,Anna,Tammy, Zulfa na rafiki wa Anna

Mtanzania mbunifu wa  mitindo ya nguo Anna Lukindo ametikisa ulimwengu wa fashion jijini london wikiendi  iliopita. Anna alionyesha mavazi aliyobuni kwenye maonyesho ya  La Geneve North Event,  yaliyofanyika London. Ubunifu wa Anna ulipokelewa kwa vifijo na nderemo kwani ulikuwa ndio uliotia fora. 

Kulikuwa na wabunifu wengine kumi lakini Anna ndio alikuwa mwafrika na Mtanzania pekee ambaye Mavazi yake yalikubalika na kupendwa na watu wengi zaidi.

 Mojawapo ya wageni na wadau mbalimbali walijjitokeza kumpa sapoti Anna ni  Mh Balozi wetu  Peter Kallaghe na Mama Balozi, Naibu Balozi Chabaka Kilumanga pamoja na watanzania wengine.

Kwa niaba ya URBAN PULSE Tunapenda Kumpongeza Dada yetu Anna Na Kumtakia  kila la kheri pamoja na Mafaniko Mema.


Friday, 15 July 2011

MAELFU WAKIMBIA MASHAMBULIO YA NIGERIA

Maelfu ya raia wa Nigeria wanakimbia eneo la Maiduguri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kufuatia mashambulio ya hivi karibuni, yaliyoua takriban watu 40.

Baadhi yao ni wanafunzi wakiondoka baada ya chuo kikuu kufungwa.
Askari karibu na eneo lilipotokea mlipuko
Mashambulio hayo yamefanywa na kundi lenye msimamo mkali, Boko Haram, linalopinga elimu ya kimagharibi.

WAFANYAKAZI WA BBC KUGOMA

Waandishi habari wengi wanaohudumu katika Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC wameanza mgomo wa siku moja kulalamikia mpango wa kuwaachisha kazi baadhi yao.

Thursday, 7 July 2011

AJIRA KUONGEZEKA MTWARA NA LINDI

Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. William Ngeleja
amesema uwekezaji unaoendelea hivi sasa katika mikoa ya kusini ni kiashiria kizuri juu ya kukua kwa uchumi wa mikoa hiyo na hasa katika bandari ya Mtwara.
Alikuwa akitoa ufafanuzi huo kuhusu uamuzi wa kampuni ya Petrobas ya Brazili kuweka meli yake katika bandari ya Mtwara wakati ikifanya kazi ya utafiti wa mafuta na gesi katika pwani ya Mtwara hadi Mafia.

VURUGU ZA POLISI NA WAMACHINGA KATIKA JIJI LA MWANZA

 Jeshi la Polisi lilipowasili kwa ajiri ya kutuliza ghasi

 Wamachinga wakibinua gari iliwalichome moto

 Gari aina ya Canter likiteketezwa kwa moto


Hii ni barabara ya Rwagasore ndio vurugu zilikuwa kubwa sana eneo hili

GEITA DOCUMENTARY

Contributors