![]() |
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika uwanja wa CCM Samora |
![]() |
Madereva wa Bodaboda na Bajaj hawakuwa nyma kumuenzi Mwl Nyerere. |
![]() |
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakifuatilia kwa ukaribu Kilele cha mbio za mwenge na Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere |
![]() |
Mabalozi wa nchi mbalimbali. |
![]() |
Viongozi wa madhehebu ya Dini zote pia walihudhuria kuonyesha mshikamano na umoja wa Watanzania bila kujali itikadi zao za Kidini.. |
![]() |
Watoto wa halaiki wakitoa burudani ya aina yake |
![]() |
Makamanda waliokuwa viongozi wa mbio za mwenge wakionyesha ukakamavu wa hali ya juu. |
![]() |
Rais Kikwete akipita karibu na bango lenye kauli mbiu ya Maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerer na kilele cha mbio za mwenge |
![]() |
Rais Kikwete akihutubia wananchi |
![]() |
Hotuba ya Rais Kikwete ikiendelea |
![]() |
Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bwana Juma Ali Simai akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Rais Jakaya Kikwete |
![]() |
Rais Kikwete akiwa na makamanda waliokimbiza Mwenge nchi nzima. |
![]() |
Rais Kikwete akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikalia na viongozi wa Dini |
![]() |
Picha na viongozi wa taasisi mbalimbali waliofaniisha sherehe hizi |
![]() |
Rasi Kikwete akiwapongeza Watoto wa halaiki. |
![]() |
Picha na walimu wa Halaiki |
No comments:
Post a Comment