Monday, 18 August 2014

PICHA: MAMA TUNU PINDA ALAKIWA BAADA YA KUREJEA KATIKA MTANO WA WAKE WA MAWAZIRI WA KUU AMBAPO ALITUNUKIWA TUZO YA HESHIMA KAMA BALOZI WA AMANI DUNIANI

Picha Habari na Steven Mruma "Trust"  
       Ilikua ni mapokezi ya aina yake ya kumpokea moja kati ya wanawake mashujaa ambaye ni mke wa waziri mkuu wa Tanzania mama Tunu Pinda alipokua kwenye mkutano wa dunia kuhusu mambo ya ya amani na kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika hivi karibuni (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini.
 
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama  uliofanyika Seoul Korea Kusini.
      Baada ya kutunukiwa tuzo hiyo kama balozi wa amani na usalama duniani Mama Tunu pinda aliwasili nchini na kufanyiwa mapokezi makubwa na baadhi ya viongozi wanawake pamoja na mumewe waziri mkuu wa Tanzania Mizengo K.P. Pinda.
     Miongoni mwa waliompokea alikuwepo mbunge wa Viti maalum na mpambanaji wa haki za wanawake duniani Mh. Vicky Kamata pamoja  na wanaharakati na viongozi mbalimbali wanawake.

ANGALIA PICHA ZA MAPOKEZI YAKE J.K.NYERERE INTERNATIONA AIRPORT ALIPOWASILI












Monday, 11 August 2014

ANGALIA PICHA ZA NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI STEVEN MASELE ALIZOPIGA NA BAADHI YA MARAIS WA AFRICA NA VIONGOZI WENGINE WALIPOKUA KATIKA BUNGE LA AFRIKA.



NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI STEVEN MASELE AKIWA NA RAIS WA NIGERIA GOODLUCK JONATHAN

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI STEVEN MASELE AKIWA NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSSEVEN

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI STEVEN MASELE AKIWA NA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI STEVEN MASELE AKIWA NA RAIS WA CONGO JOSEPH KABILA

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI STEVEN MASELE AKIWA NA RAIS WA MALI IBRAHIM KEITA

HAPA AKIWA NA JOE CARSON NA SUSANE RICE WA US DEPARTMENT

Saturday, 9 August 2014

PICHA ZA BAADI YA MATUKIO TAMASHA LA MATUMAINI KATIKA MECHI YA WABUNGE WA SIMBA VS WABUNGE WA YANGA


          Picha kwa hisani ya James Mwakibinga, Mwigulu Nchemba na Steven Mruma

 Posted by Steven Mruma. 

      Mechi baina ya waheshimiwa Wabunge mashabiki wa Yanga na Simba ilionekana kuwa kivutio kikubwa baada ya wabunge wa Yanga kuwalowesha Simba jumla ya mabao 3 – 2, kama hiyo haitoshi mpambano wa masumbwi uliowakutanisha mastaa wa filamu, JB na Cloud ambapo mpaka mwisho wa mpambano JB AKA Bonge la bwana aliweza kuibuka mbabe wakati kwa upande Mada Maugo alifanikiwa kumchapa  mpinzani wake Thomas kwa Knok Out. 

TIMU ZIKIIMBA WIMBO WA TAIFA
MTANANGE UKIENDELEA HUKU MH.M. NCHEMBA AKIONYESHA KANDANDA SAFI KWA UPANDE WA WABUNGE WA YANGA

MH. NCHEMA AKISHANGILIA USHINDI

MH. NCHEMA AKIFANYA VITU VYAKE UWANJA WA TAIFA

MH. RIDHIWANI KIKWETE AKIFANYIWA FAULU MBAYA NA MCHEZAJI WA WABUNGE WA TIMBA

MH. RIDHIWANI KIKWETE A.K.A INIESTA AKIONYESHA UFUNDI

ILIKUA NI VUTA NIKUVUTE
MFUNGAJI WA BAO LA WABUNGE WA YANGA MH. IDRISA KITWANA AKISHANGILIA BAO

WABUNGE WA YANGA WAKISHANGILIA MARA BAADA YA KUWAFUNGA WABUNGE WA SIMBA
MASHABIKI WAKISHANGILIA TIMU ZAO

KIKOSI CHA WABUNGE WA YANGA

KIKOSI CHA WABUNGE WA SIMBA

Friday, 8 August 2014

ANGALIA PICHA ZA WABUNGE AKINA MAMA WAPIGANIA HAKI ZA WANYONGE NA WANAWAKE WAKIWA DODOMA


Picha na Steven Mruma,

KUTOKA KUSHOTO NI MH. ZAINABU KAWAWA, MHE. A. MSHAMA NA MH. UMMY MWALIMU
KUTOKA KUSHOTO NI MH ZAINABU KAWAWA, MH. AGNESS HOKORORO, MH. UMMY MWALIMU, MH. A. MSHAMA, MH. TAOHIDA NA MH. VICKY KAMATA

KUTOKA KUSHOTO MH. VICKY KAMATA, MH. AGNESS HOKORORO NA MH. TAOHIDA

KUTOKA KUSHOTO NI MH. A. MSHAMA, MH. TAOHIDA, MH. MADABIDA, MH. RITHA KABATI NA ALIYEKAA NI MH. UMMY MWALIMU.

Saturday, 2 August 2014

PICHA: CHADEMA WATWANGANA KAVUKAVU GEITA BAADA YA KUTOKEA FUNUNU YA KUTUHUMIANA MAMBO YA "MLUNGULA"

Na Steven Mruma credit to  Victor Bariety via Malunde1 blog, Geita

       Katika tukio lisilo la kawaida baadhi ya Viongozi wa juu wa CHADEMA Geita walijikuta wakizichapa kavukavu baada ya kutuhumiana mambo ya rushwa nadani ya Chama hicho baada ya wenzao,wakiwemo viongozi wa matawi zaidi ya 50 kukamatwa na vijana wa ulinzi wa chama hicho (Red Brigade) wakiwa katika hoteli ya Wandela mjini Geita wakiwa kwenye kikao cha siri na kudaiwa walikuwa wanapokea rushwa kutoka kwa wagombea.
        Kundi hilo la siri linadaiwa kuandaliwa na katibu wa Jimbo la Geita aliyepo sasa hivi Rogers Ruhega ikiwa ni mkakati wa kumuwezesha kurudi madarakani katika uchaguzi unaokuja ambao inaonekana ameelemewa na mgombea mwenzake Mutta Robert.
       Ruhega ambaye hakuwepo katika kikao hicho, inadawa wajumbe waliokutwa Hotelini hapo ni kundi lina lohaha kila siku kutaka arudi madarakani kwa gharama yoyote na moja ya mbinu walizokuwa wanatumia ni kuchafua mgombea mwenzake na kutoa rushwa.

        Tukio hili linashangaza na linaashiria ni jinsi gani baadhi ya Viongozi walivyokua na uchu wa madaraka kiasi cha kutumia njia za mkato ili kuingia madarakani, na huku ni kukosa uzalendo na mfano wa viongozi hawa ni dhahiri wanataka kulinda maslahi yao bali si kutatua na kuwasadidia wanachi wa Geita, na Taita kwa ujumla.  

      KWA KUSOMA KISA HIKI KWA UNDANI BOFYA HAPA [ CLICK HERE]
  
Hapa likua ni mara baada ya Red Brigades wavamia hotel na kukuta wenzao wanajichana kwa soda na maji kabla ya timbwili
Wafuasi wa CHADEMA wakitaka kuzichapa nje ya Wandela hotel mjini Geita katika tukio la wanachama chama hicho kukutwa kwenye kikao cha siri katika hotel ya Wandela iliyopo Shilabela mjini Geita, ambapo kwenye kikao hicho ilidaiwa walikuwa wanagawiwa mlungula ili kupitisha kambi ya Katibu wa CHADEMA jimbo la Geita Rogers Luhega ambaye yuko taabani kisiasa dhidi ya mpinzani wake Mutta Robert aliyeomba kugombea nafasi hiyo.
Vurugu zikiendelea nje ya Hotel hiyo vijana wa CHADEMA wakitunishiana misuri
Timbwili la aina yake likiendelea.
Red Brigades wakiwa nje ya hotel wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini kabla ya kutoa sintofahamu ya kukunjana.

GEITA DOCUMENTARY

Contributors